Follow us

Responsive Advertisement
Responsive Advertisement

Kumekuwa na Tetesi nyingi jioni ya leo juu ya Kiungo wa kimataifa wa Congo Papy kabamba Tshishimbi kuvunja mkataba wake na Yanga na kujiunga na Simba ya Dar es salaan.
Mtandao wa The choice umeweza kufwatilia kwa ukaribu zaidi na kubaini hadi mda huu Tshishimbi ni mali ya Yanga huku akiwa na mkataba wa mwaka mmoja uliobakia .
Endapo taarifa za kuvunja mkataba zitakuwa ni kweli basi tutawataarifu ila hadi sasa Tshishimbi bado ni mali ya Yanga

Post a Comment

Responsive Advertisement
Responsive Advertisement
Responsive Advertisement