Follow us

Responsive Advertisement
Responsive Advertisement
Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima hatacheza mchezo wa fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup leo dhidi ya Gor Mahia kwa kuwa ana kadi mbili za njano.
Kulingana na kanuni za michuano hiyo, mchezaji mwenye kadi mbili za njano atakosa mchezo mmoja.
Kaimu Kocha wa Simba Masudi Djuma amesema ana wachezaji 18 hivyo kukosekana kwa Niyonzima hakuwezi kuwa tatizo.
Kesho Jumapili, Juni 10 2018, saa tisa Alasiri, Simba itashuka kwenye uwanja wa Afraha kumenyama na mapingwa watetezi wa michuano hiyo, Gor Mahia

Post a Comment

Responsive Advertisement
Responsive Advertisement
Responsive Advertisement